► Leesleeftijd: vanaf 2 jaar
Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... "Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50 na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo. ♫ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha hadithi kama MP3 audiobook na video kwa Kiswahili. ► Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Students of Swahili ... will find useful grammar tables in the appendix. Enjoy learning this wonderful language! |
שימל קען נישט שלאָפן. זײַן קליין וועלוול איז נעלם געוואָרן. אפשר האָט ער עס פאַרגעסן אין דרויסן? ' "שלאָף געזונט, קליין וועלוול" איז אַן אָנוואַרעמדיקע מעשׂה כּדי שלאָפן צו גיין. מען האָט עס איבערגעזעצט אויף מער ווי 50 שפּראַכן און מע קען עס קריגן אין צוויי-שפּראַכיקע אויסגאַבעס אויף אַלע זייערע מעגלעכע געמישן. Students of Swahili ... will find useful grammar tables in the appendix. Enjoy learning this wonderful language! |
* for Apple (iPad), Sony Reader, Tolino, Kobo etc.
Op zoek naar andere talen van "Slaap lekker, kleine wolf"? ► Probeer het opnieuw met de taalwizard!
Op zoek naar een ander tweetalig kinderboek?
► Bekijk "De wilde zwanen" eens
► Bekijk "Mijn allermooiste droom" eens